Wakazi wengi wa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu wanataka Netanyahu ajiuzulu
Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni yanaonesha kuwa, Wazayuni walio wengi wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni yanaonesha kuwa, Wazayuni walio wengi wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa…
Ufaransa imeanza rasmi kuondoka katika ardhi ya Senegal kwa kukabidhi kambi mbili za kijeshi zilizoko kwenye nchi hiyo ya Kiafrika.
Leo ni Jumatatu 9 Ramadhani 1446 Hijria ambayo inasadifiana na 10 Machi 2025.
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Jamhuri ya Kiislamu haisubiri barua yoyote kutoka kwa Marekani,…
Mohammad Eslami, Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran AEOI, ameushauri Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki,…
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat ametoa wito wa kusitishwa mara moja uhasama na mvutano…
Mufti Mkuu wa Oman amewataka Waislamu wote na watu wanaopenda uhuru duniani kusaidia watu wanaodhulumiwa wa Gaza wanaoishi katika hali…
Gazerti la The Guardian la nchini Uingereza limeandika makala maalumu kuhusu misimamo dhaifu ya rais wa Marekani, Donald Trump katika…
Ripoti iliyochapishwa katika gazeti la Marekani, The New York Times, imefichua kwamba Wakristo wa Kiinjilisti, ambao walitoa huduma kubwa kwa…
Kufuatia kuendelea hujuma za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa…
Ibada za mwezi mtukufu wa Ramadhani zinaendelea kwa Waislamu wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC huku hali…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, machafuko na ukosefu wa utulivu nchini Syria…
Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limeonya kuwa litarejea kwenye operesheni zake za kijeshi za majini za kuifungia Israel Bahari…
Ofisi ya Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imetaka utawala wa Kizayuni utimuliwe kutoka kwenye umoja huo…
Hanna Serwaa Tetteh, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ambaye pia ni mkuu wa Ujumbe…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyid Ali Khamenei, amesema kuwa sisitizo la baadhi ya madola ya kibabe juu…
Ripoti Maalumu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali hatua za hivi majuzi za serikali ya Donald Trump ya kuwatimua na…
Waziri wa Ulinzi wa Sudan, Yassin Ibrahim, amesema kuwa jeshi la nchi hiyo limepiga hatua kubwa katika vita dhidi ya…
Mji wa Kabare, unaopatikana katika jimbo la Kivu Kusini umeathiriwa na mlipuko mkali wa ugonjwa wa Mpox, ugonjwa ambao kimsingi…
Korea Kaskazini imeionya Seoul na kutishia kuchukua hatua kali iwapo mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya kila mwaka kati ya…
Kufanyika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiislamu huko Jeddah mara baada ya mkutano…
Idara ya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa: Wanawake 12,316 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika…
Mchambuzi mmoja mashuhuri wa ulimwengu wa Kiarabu amesema: “Kulazimika Donald Trump kuomba kufanya mazungumzo ni matokeo ya kufeli na kukata…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema Tehran haitashiriki katika mazungumzo ya moja kwa moja kuhusu nyuklia…
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa rasmi mwishoni mwa kikao chake cha mjini Saudi Arabia na kulaani kwa…
Jeshi la anga la Ethiopia limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo wa al-Shabab katika Mkoa wa Shabelle ya Kati…
sambamba na hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump, ya kuongeza mashinikizo kwa Ottawa nwa vitisho vyake vya kuiteka Canada…
Ukimya wa taasisi za kimataifa kuhusiana na mauaji ya umati dhidi ya raia nchini Syria yanayofanywa na viongozi wenye mafungamano…
Baada ya serikali ya Senegal kuwatimua na kuwalazimisha wakabidhi kambi zao, sasa wanajeshi wa mkoloni wa Ulaya yaani Ufaransa, wameanza…
Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Miradi ya nyuklia ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza tena msimamo wa Tehran wa kupinga eti ‘suluhisho la mataifa…
Jenerali wa Jeshi la Sudan Kusini na makumi ya wanajeshi wameuawa baada ya helikopta ya Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikijaribu…
Zimbabwe inafanya kila liwezekanalo kujiunga na kundi la BRICS, ikilenga kuimarisha uchumi wake na ushirikiano wa kimataifa.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameashiria matatizo yanayoendelea kuwakabili wanawake na wasichana duniani kote, akionya kwamba “kutokomeza…
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeutuhumu utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump kwa kufuata sera za ”…
Katika taarifa yake ya karibuni zaidi, jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limeangamiza takriban magaidi 92 na kuwatia mbaroni wengine 111…
Waziri wa Misitu, Uvuvi na Mazingira wa Afrika Kusini, Dion George, ametoa taarifa rasmi na kusema kuwa vifaru 420 waliuliwa…
Serikali ya Jenerali Abdul Fattal al Burhan wa Sudan imetangaza kufurahishwa na taarifa ya Baraza la Usalama la Umoja wa…
Kambi mbili kati ya tano za jeshi la mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa nchini Senegal zilikabidhiwa rasmi kwa serikali…
Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Mashirika ya Kimataifa mjini Vienna, Mikhail Ulyanov, amesema kuwa utawala wa Israel hauna haki…
Gazeti la Marekani la Washington Post limeandika makala likiashiria amri za utendaji zilizotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, tangu…
Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa, kufanya mazungumzo na Marekani ni kujidhalilisha. Amesisitiza kuwa, taifa…
Vikosi vya jeshi la Israel vimevamia misikiti kadhaa katika mji mkongwe wa Nablus, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto…
Vikosi vya Msaada wa Haraka vya Sudan (RSF) vimeripotiwa kuwauwa makumi ya raia katika vijiji vya jimbo la al-Jazira ambalo…
Zaidi ya watu 70 wameripotiwa kuuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa nchini Syria kutokana na mapigano makali kati ya wanamgambo…
Uchunguzi mpya umefichua kuwa, kitengo cha ujasusi wa kielektroniki cha jeshi la Israel cha 8200 kimetumia mkusanyiko mkubwa wa mawasiliano…
Iran imechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Baraza la Utendaji la Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) licha ya…
Suala la madai ya Rwanda ya fidia ya pauni milioni 50 kutoka kwa Uingereza kwa kuacha mpango wa kuwafukuza wakimbizi…
Mkuu wa Shirika la Utamaduni na Mawasiliano ya Kiislamu la Iran amesema: “kuundwa Baraza la Qur’ani la Ulimwengu wa Kiislamu…
Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameidhinisha vizuizi vikali vya kuwekewa Waislamu Wapalestina kuingia katika Msikiti…