Mustakbali uliogubikwa na kiza wa Syria; wafuasi wa al Julani wazidi kuua raia
Shirika la kutetea haki za binadamu nchini Syria limeripoti habari ya kuuawa zaidi ya raia 1,383 wasio na hatia katika…
Mizozo ya kijeshi duniani
Shirika la kutetea haki za binadamu nchini Syria limeripoti habari ya kuuawa zaidi ya raia 1,383 wasio na hatia katika…
Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani mkutano wa Baraza la Usalama kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, akiuita…
Panama imesisitiza kujitolea kwake kudumisha uhuru wake kufuatia ripoti kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump, anatafakari kuchukua hatua za kijeshi…
Israel imefanya shambulizi la anga katika viunga vya Damascus huku vifaru vyake vikiendelea kusonga ndani zaidi ya eneo la kusini-magharibi…
Ripoti maalum ya Tume Huru ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imebaini kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umetekeleza mauaji…
Sudan imetangaza kuwa inasitisha uagizaji wa bidhaa zote kutoka Kenya kutokana na hatua ya Kenya kukubali kufanyika nchini humo mikutano…
Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF, Catherine Russell, amesema vita vinavyoendelea Sudan ni janga kubwa zaidi la kibinadamu duniani, likiwaacha watoto katika…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa baada ya tathmini na uchunguzi kamili wa barua ya…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusu jaribio lao la pamoja na…
Waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina walikusanyika nje ya mahakama ya Manhattan jijini New York nchini Marekani, wakitaka mwanaharakati wa Kipalestina, Mahmoud…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov amesisitiza uungaji mkono wa Moscow kwa kufufuliwa mkataba wa kihistoria uliotiwa…
Tanzania jana Alkhamisi ilitangaza mwisho wa mlipuko wa virusi vya Marburg, kwani hakuna kesi yoyote mpya iliyoripotiwa nchini humo katika…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema ghasia katika kaunti za kaskazini mwa Sudan za Nasir na…
Kikao cha kubadilishana mawazo cha Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Iran na Afrika kimefanyika mjini Tehran, kwa…
Leo ni Ijumaa tarehe13 Ramadhani 1446 Hijria sawa na Machi 14 mwaka 2025.
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena imekataa mazungumzo yoyote ya kulazimishwa na kusisitiza kuwa haitafanya mazungumzo kwa…
Chuo Kikuu cha Yale cha nchini Marekani kimemsimamisha kazi mhadhiri wa Kiirani kwa tuhuma zilizotegemea ripoti ya Akili Mnemba (Artificial…
Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeandika katika makala kwamba baraza la mawaziri la utawala huo linaloongozwa na Netanyahu limekuwa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza kuwa, Tehran inalichunguza wazo jipya la kutatua masuala ya nyuklia ya Iran…
Tarehe ya mazungumzo baina ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na waasi wa M23 imetangazwa. Sasa pande…
Chama kikuu cha upinzani huko Sudan Kusini, cha Sudan People’s Liberation Movement/Army-In Opposition (SPLM/A-IO) kinachoongozwa na Makamu wa Kwanza wa…
Jeshi la Sudan (SAF) limetangaza kuwa, takriban watu 10 wameuawa na wengine 23 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora yaliyofanywa na…
Zaidi ya watu milioni 30 katika nchi iliyoathiriwa na vita ya Sudan wanahitaji msaada wa haraka wa kibinadamu huku hali…
Israel imewaua Wapalestina 150 kwa kutumia ndege zisizo na rubani, wadunguaji au njaa kama silaha tangu ilipofikia makubaliano ya kusimamisha…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza katika taarifa kuwa oparesheni ya ufyatuaji risasi iliyotekelezwa jana usiku karibu…
Katika matamshi yake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mjumbe wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amesema: Washington inaendelea…
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na…
Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, wito wa Rais Donald Trump wa Marekani kwamba anataka…
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni miongoni mwa nchi tatu zinazoongoza duniani kwa upandikizaji wa uboho kutokana na maendeleo makubwa…
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa duru mpya ya mazungumzo ya kusimamisha vita Ukanda…
Utafiti mpya wa hali ya hewa unaonyesha kuwa mabadiliko ya tabianchi tayari yanaathiri miji mingi mikubwa duniani, na kusababisha mabadiliko…
Nigeria imethibitisha vifo vipya vitano kutokana na homa ya Lassa, ugonjwa ambao umesambaa katika eneo la magharibi mwa Afrika.
Wiki sita baada ya waasi wanaoungwa mkono na Rwanda kuteka miji miwili mikubwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,…
Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Ramadhani mwaka 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 13 Machi 2025.
Hatua ya serikali ya Marekani ya kumtia mbaroni mwanaharakati anayepinga vita na anayeunga mkono Palestina anayepata elimu nchini humo imezidisha…
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maadui wanapaswa kubadili mtazamo wao kuhusu kanda…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema kuwa uamuzi wa utawala haramu wa Israel wa kuzuia kuingia kwa…
Naibu Katibu Mkuu wa kwanza wa chama tawala cha Afrika Kusini, ANC, Nomvula Mokonyane, amekemea wanachama wa chama cha Democratic…
Wizara ya Habari ya Sudan Kusini imekanusha madai ya uwepo wa wanajeshi wa Uganda nchini humo, baada ya kutangazwa kuwa…
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Marekani zinapanga kushirikiana katika mapatano ya kiuchumi na kisiasa.
Angola imetangaza kuwa itajaribu kusaidia kufanikisha mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na…
Mji mkuu wa Marekani, Washington DC, unaendelea kushuhudia maandamano ya karibu kila siku dhidi ya Rais Donald Trump kutokana na…
Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji. Tumo katika siku tukufu za ibada ya funga ya mwezi wa Ramadhani na sote tumealikwa kuwa…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa vikali mwenendo wa kimaksi wa utawala wa Donald Trump dhidi ya Iran na kueleza…
Wanachama waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wamewauwa watu wasiopungua saba katika shambulio dhidi ya hoteli…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya ‘Mkanda wa Usalama…
Takriban miaka mitatu baada ya kuachia ngazi, Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amekamatwa na mamlaka za nchi hiyo…
Watu wasiopungua 26 wameaga dunia kutokana na mripuko wa ugonjwa wa uti wa mgongo wa ubongo (Meningitis) katika Jimbo la…