Niger yajitoa rasmi katika Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa, Francophone
Niger imejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Kimataifa ya nchi zinazozungumza Kifaransa (OIF) au Francophone sambamba na juhudi zinazoendelea kufanywa na…
Mizozo ya kijeshi duniani
Niger imejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Kimataifa ya nchi zinazozungumza Kifaransa (OIF) au Francophone sambamba na juhudi zinazoendelea kufanywa na…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Iraq ya An-Nujabaa imelaani mashambulizi ya kinyama yaliyoanzishwa tena na utawala wa Kizayuni katika…
Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza kuwa, raia wanane wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika shambulizi la mizinga lililofanywa na…
Leo ni Jumatano tarehe 18 mwezi wa Ramadhani 1446 Hijria mwafaka na tarehe 19 Machi 2025.
Moja ya nyadhifa muhimu za kutumia haki za binadamu kama wenzo katika sera ya mambo ya nje ya Marekani ni…
Katika kumbukumbu ya miaka 37 ya maafa makubwa ya mashambulizi ya mabomu ya kemikali huko Halabja, waathiriwa wa maafa hayo…
Leo Jumanne, viongozi ya Israel wamelazimika kufunga milango mashimo na mahandaki wanayojifichia Wazayuni baada ya utawala wa Kizayuni kufanya jinai…
Tom Fletcher, mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya masuala ya kibinadamu ameonesha hisia zake kuhusu taarifa za kutisha…
Mazungumzo baina ya waasi wa M23 na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), yaliyopangwa kufanyika leo Jumanne huko…
Ubelgiji imejibu hatua ya Rwanda ya kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na nchi hiyo ya Ulaya na kusema kuwa, wanadiplomasia…
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Libya, Emad al-Tarabelsi, ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa ukiwemo pia Umoja wa Ulaya…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza imesema kuwa, kutafanyika kikao baina yao na mkuu wa sera za kigeni wa…
Iran imekemea kwa nguvu madai ya hivi karibuni yaliyotolewa na viongozi wa juu wa utawala wa rais wa Marekani Donald…
Umoja wa Mataifa unaripoti kuwa mapigano ya silaha katika jimbo la Ituri, Kaskazini-Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),…
Jeshi la utawal katili wa Israel limeua Wapalestina wasiopungua 350, ambao wengi wao ni wanawake na watoto, katika maeneo yote…
Vikosi vya Jeshi la Yemeni vimetangaza shambulio jingine dhidi ya vikosi vya Marekani katika eneo la Bahari ya Shamu, vikitumia…
Rwanda imekata mahusiano ya kidiplomasia na Ubelgiji Jumatatu huku kukiwa na mgogoro katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…
Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika akaunti yake ya mtandao…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya Sheria na ya Kimataifa amesema kuwa, mazungumzo yake…
Kamanda wa Vikosi vya Msaada wa Haraaka RSF vya Sudan amelilaumu jeshi la nchi hiyo SAF kwa kukwamisha mazungumzo ya…
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Libya imetangaza kwamba Waziri wa Elimu wa nchi hiyo, Musa al-Magaryaf, amehukumiwa kifungo cha miaka…
Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu…
Hatua ya waziri mkuu wa Israel ya kutangaza kumfuta kazi mkuu wa genge la kijasusi la Shin Bet la utawala…
Leo ni Jumanne tarehe 17 Ramadhani 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 18 Machi 2025.
Waasi wa M23 leo wameendelea kushambulia maeneo mbalimbali mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kabla ya kuanza mazungumzo ya…
Mamlaka ya serikali za mitaa huko Sudan imetangaza leo Jumatatu kuwa mashambulizi ya mizinga ya wanamgambo wa kikosi cha RSF…
Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa gharama za vita za utawala huo zimefichwa mwaka huu, tofauti na ripoti za…
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa: Vitisho vya Marekani vinapelekea tu hali ya mambo…
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amezikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kueneza ‘simulizi potofu’ kwamba Kigali inawaunga mkono waasi wa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa jumbe zinazotoka Marekani zinakinzana yaani sambamba na kubainisha kuwa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Seyed Abbas Araghchi alisema Jumapili, Machi 16, katika kujibu matamshi ya kibabe na…
Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kama mvua laini ya msimu wa kuchipua inayonyeshea jangwa kavu na lenye kiu. Hebu na…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Yemen kwa Muqawama wake wa kukabiliana na…
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimeishambulia kwa mara ya pili manowari ya kubebea ndege za kivita ya Marekani ya USS…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetahadharisha kuwa uhaba mkubwa wa maji katika Ukanda wa Ghaza umefikia…
Mwakilishi wa Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesisitizia msimamo wa kudumu wa nchi hiyo kuhusiana na utawala wa Kizayuni wa…
Rais Xi Jinping wa China amekataa mwaliko wa kuhudhuria kikao kilichopangwa kufanyika mjini Brussels kuadhimisha miaka 50 ya uhusiano wa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hujuma za majeshi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen…
Utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani pamoja na baadhi ya nchi za Ulaya zimeendeleza vitendo vyao vya uharibifu na…
Leo ni Jumatatu tarehe 16 Ramadhani 1446 Hijria sawa na tarehe 17 Machi mwaka 2025.
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza dhidi ya maeneo…
Rais wa Angola, João Lourenço, ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) ametoa wito wa kusitishwa mara…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani, hajaondolewa kwenye…
Duru za habari zimekinukuu chanzo kimoja nchini Sudan kwamba jeshi la nchi hiyo limeshambulia ikulu ya rais mjini Khartoum kwa…
Kinara wa Upinzani Raila Odinga amefichua kuwa aliamua kumwokoa Rais William Ruto wakati wa maandamano ya Gen Z ili kuzima…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kwamba, Iran itatoa jibu la maangamivu kwa tishio…
Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limelaani shambulio baya la Marekani dhidi ya nchi hiyo kwa kuunga mkono Israel, na…
Mamia ya Waislamu na Wakristo huko Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso, wameshiriki pamoja dhifa ya futari katika medani ya…
Moto uliokumba klabu ya anasa katika mji wa Kocani, Macedonia Kaskazini usiku wa manane wa kuamkia leo umesababisha makumi ya…
Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Ghaza imetangaza kuwa, zaidi ya Wapalestina 150 wameuliwa…