Hamas: Mauaji ya Wapalestina akiwemo Mbunge yataimarisha Muqawama
Jeshi la Israel limefanya mashambulizi mapya ya kutisha ya anga katika Ukanda wa Gaza na kuua shahidi watu wasiopungua 40,…
Mizozo ya kijeshi duniani
Jeshi la Israel limefanya mashambulizi mapya ya kutisha ya anga katika Ukanda wa Gaza na kuua shahidi watu wasiopungua 40,…
Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Brigedia Jenerali Kiumars Heidari amesema…
Zaidi ya raia 45 wameuawa katika shambulio la Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika eneo la Al-Malha, yapata kilomita…
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimevurumisha makombora kuelekea katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel, na kuwatia kiwewe…
Naibu Waziri Mkuu wa Serbia, Aleksandar Vulin amesema nchi hiyo ya eneo la Balkan inawajihiwa na tishio la “mapinduzi ya…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei amelaani vikali shambulio la kigaidi la karibuni dhidi ya…
Amir Saeed Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma zisizo na msingi za…
Naibu kaimu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya Taliban mjini Herat amesema kuwa, kubuniwa Siku ya Kimataifa…
Katika kumbukumbu ya mwaka wa 21 wa kuuawa shahidi Sheikh Ahmad Yassin, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hamas imesisitiza…
Jeshi la Sudan jana Jumamosi liliendeleza ushindi wake kwa kuiteka tena Benki Kuu na maeneo kadhaa ya kimkakati na majengo…
Tunisia imeshuhudia mabadiliko ya mfululizo, ya mara kwa mara na ya ghafla katika nafasi ya waziri mkuu tangu Kais Saied…
Maharamia wa Kisomali wameachilia huru meli iliyokuwa inapeperusha bendera ya Yemen ambayo waliiteka nyara tarehe 16 mwezi huu wa Machi…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali ukatili wa utawala ghasibu wa Israel dhidi…
Baada ya utawala wa Israel kudai kwamba maroketi 5 yalirushwa kuelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu jana Jumamosi, Harakati ya…
Jeshi la Uganda limetangaza habari ya kuwaua mamia ya wapiganaji wa kundi la waasi wa CODECO baada ya kushambulia kambi…
Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum amepokea rasmi hati za utambulisho za Balozi wa Palestina Nadya R. H. Rasheed katika Ikulu…
Mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi), Steve Witkoff amepuuzilia mbali madai kwamba Russia ina…
Wanajeshi wa Ethiopia wamewaua zaidi ya wapiganaji 300 wa kundi lenye silaha la Fano, washirika wao wa zamani dhidi ya…
Katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiirani wa 1404 Hijiria Shamsia, Wizara ya Fedha ya Marekani imeiwekea Iran…
Leo ni tarehe 22 mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 23 Machi 2025 Milaadia.
Amir Saeed Iravani, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma…
Ted Galen Carpenter, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi wa Marekani amemtahadharisha rais wa nchi hiyo Donald Trump na matokeo…
Kitendo cha jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuiripua na kuibomoa kikamilifu hospitali pekee ya matibabu ya maradhi…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameionya Marekani kwa kuitaka iache kuingilia ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi…
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen (YAF) vimetangaza kuwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Israel sasa hauko salama kwa…
Waziri Mkuu wa Kanada Mark Carney amesema mazungumzo mapana ya kibiashara baina ya nchi yake na Marekani hayatafanyika mpaka pale…
Kampuni ya Google mapema wiki hii ililipa dola bilioni 32 ili kununua kampuni ya Israel ya usalama wa mtandao, Wiz,…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa Waarabu na Wapalestina kushiriki katika mapambano ya vyombo vya…
Makumi ya watu wameuawa shahidi katika shambulio la kundi la kigaidi la ISIS kwenye msikiti mmoja kusini magharibi mwa Niger.
New York Times limeandika kuwa Marekani haitaweza kutoa pigo kwa Yemen katika mashambulizi yake ya kichokozi dhidi ya nchi hiyo…
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, zaidi ya watu 100,000 wamekimbilia nchi jirani kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya vikosi vya…
Akizungumza jana Ijumaa katika kikao na maelfu ya watu wa matabaka tofauti katika siku ya kwanza ya mwaka wa Kiirani…
Matamshi yaliyotolewa jana na Kiongozi Muadhamu wa mapinduzi ya Kislamu, Imam Ali Khamenei katika siku ya kwanza ya mwaka mpya…
Takwimu mpya zilizotolewa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) zinaonyesha kuwa, karibu watu 9,000 walikufa mwaka jana wakijaribu kuvuka…
Waziri Mkuu wa Poland amesema kuwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zimekubaliana hadi kufikia mwaka 2030 kuongeza uwezo wao…
Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya zimetoa wito wa kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel…
Serikali ya Uturuki imeonya dhidi ya wito iliosema ni “haramu” wa kambi ya upinzani kufanya maandamano mitaani ili kupinga kukamatwa…
Msemaji wa tawi la kijeshi la harakati ya Hamas amesema kuwa wananchi wa Yemen wamegharamika pakubwa kwa ajili ya kuihami…
Leo ni Jumamosi tarehe 21 mwezi mtukufu wa Ramadhani 1446 Hijria, mwafaka na tarehe 22 Machi 2025.
Mtaalamu mmoja wa masuala ya kifamilia amesema kuhusu taathira za kusoma Qur’ani Tukufu kwa mtazamo wa saikolojia kuwa: Kusoma maandishi…
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameionya Marekani dhidi ya kutumia lugha ya vitisho dhidi ya Iran.
Netumbo Nandi Ndaitwah ameapishwa leo Ijumaa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia, baada ya kushinda uchaguzi mwaka jana.
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ameeleza kuwa, uzalishaji ni mhimili wa ustawi wa maisha ya watu…
Vikosi vya Jeshi la Sudan vimedhibiti Ikulu ya Rais wa nchi hiyo mjini Khartoum leo Ijumaa na hivi sasa linawaandamana…
Takriban Wapalestina 80,000 wameswali Swala ya Ijumaa ya tatu ya mwezi wa Ramadhani hii leo katika Msikiti wa Al-Aqsa huko…
Rais wa Tunisia, Kais Saied amemfukuza kazi Waziri Mkuu, Kamel Maddouri na kumteua Waziri wa Vifaa na Makazi, Sara Zaafarani…
Jeshi la Anga la Somalia kwa ushirikiano na Shirika la Taifa la Usalama (NISA) limeangamiza magaidi 82 wa kundi la…
Wakaguzi wa Nigeria wameanzisha uchunguzi kuhusu shughuli za zaidi ya mashirika kumi yasiyo ya kiserikali, NGO, huku kukiwa na madai…
Burkina Faso na Mali zimejitoa kutoka Jumuiya ya Kimataifa ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa (OIF), zikifuata mfano wa jirani wao wa…
Harakati ya muqawama ya watu wa Yemen, Ansarullah, imeapa kwamba nchi hiyo itaongeza operesheni zake dhidi ya ngome za Marekani…