WFP yapunguza mgao wa chakula katika oparesheni zake nchini Burundi
Ongezeko kubwa la wakimbizi wanaohitaji msaada limesababisha mashinikizo makubwa kwa oparesheni ya usambazaji misaada ya chakula ya Shirika la Mpango…
Mizozo ya kijeshi duniani
Ongezeko kubwa la wakimbizi wanaohitaji msaada limesababisha mashinikizo makubwa kwa oparesheni ya usambazaji misaada ya chakula ya Shirika la Mpango…
Baada ya kuchaguliwa tena kwa mara ya pili Rais Donald Trump wa Marekani sasa amegeukia mazungumzo ya moja kwa moja…
Leo ni Jumatano tarehe 25 Ramadhani 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 26 Machi 2025.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia tuhuma zilizotolewa na viongozii wa Marekani kuhusiana na…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa taarifa ya kulaani “mauaji ya kutisha” yanayoendelea kufanywa na jeshi la…
Duru za kuaminika zimefichua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umekataa mapendekezo yote yaliyotolewa na wapatanishi ya kusitisha mapigano kutokana…
Kwa ushirikiano wa Ubalozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mji wa Guangzhou na Ofisi ya Mwambata wa…
Hamdan Ballal, mtengeneza filamu mwenza wa Kipalestina wa filamu iliyoshinda tuzo ya Oscar iitwayo Hakuna Ardhi Nyingine (No Other Land)…
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, SADC wamewateua marais wastaafu wengine kuongoza…
Maandamano makubwa yamefanyika huko Paris mji mkuu wa Ufaransa na katika miji mingine ya Ulaya kupinga duru mpya ya mashambulizi…
Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza habari ya kufanyika mashambulizi ya mafanikio dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion…
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa, عtawala wa Kizayuni…
Tanzania imeungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani (TB) ikisema kuwa, serikali imefanikiwa kupunguza maambukizi mapya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, viongozi wa Iran na Afghanistan wameandaa utaratibu…
Kuanzia jana Jumatatu, Somalia imekuwa rasmi mwanachama wa 53 wa Benki ya Mauzo ya Nje ya Afrika (Afreximbank) wakati huu…
Maandamano ya Siku ya Quds ya Kimataifa mwaka huu yamefanyika mapema jijini London Jumapili, Machi 23, na kuvutia maelfu ya…
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) ametahadharisha kwamba hatua ya utawala wa Israel ya…
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa haitashiriki katika mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani chini ya mashinikizo ya…
Angola imejiondoa kama mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Viwanda vya Kieletroniki Iran (IEI) amesema kuwa uwezo wa kijeshi na kiulinzi wa Iran unategemea…
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina wengine 17 katika mashambulizi ya alfajiri ya leo katika Ukanda…
Kamati ya Mawaziri ya Nchi za Kiarabu na Kiislamu imeelezea wasi wasi wake kuhusu mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni…
Leo ni Jumanne tarehe 24 Ramadhani 1446 Hijria, sawa na tarehe 25 Machi, 2025.
Rais Masoud Pezeshkian amesema kwamba Marekani haiwezi kuiwamisha Iran katika jambo lake lolote lile iwapo taifa hili la Kiislamu litashikamana…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: “Majeshi na serikali yetu tumeijengea nchi kinga ya kutosha kiasi kwamba hakuna…
Balozi wa Afrika Kusini ambaye rais wa Marekani Donald Trump ametaka aondoke nchini humo kutokana na kukosoa sera zake, amerejea…
Licha ya kwamba usalama nchini Somalia ni mdogo kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya genge la kigaidi la…
Chombo kimoja cha habari cha lugha ya Kiebrania kimechapisha makala inayofichua mzozo mkubwa wa kutoaminiana ndani ya muundo wa mamlaka…
Utawala wa wa Kizayuni wa Israel Israel unaendelea kufanya jinai na mashambulizi ya anga katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa…
Kwa kutilia maanani jaribio la utawala wa Trump la kuanzisha usitishaji vita nchini Ukraine kwa kuilazimisha ikubali masharti yaliyowekwa na…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira za vita vipya vya…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa na kutoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Esmail Barhoum…
Viongozi wa Rwanda wamekaribisha hatua ya waasi wa M23 ya kuondoka katika mji wa kistratejia na wenye utajiri wa madini…
Serikali ya Burkina Faso imelaani kuenea kwa video za upotoshaji kuhusu kujiri mauaji ya umati ya kikabila nchini humo. Serikali…
Msemaji wa ikulu ya Russia (Kremlin) ametangaza kuwa Ulaya inachagiza mzozo wa UKraine kwa kuzidisha misaada ya kijeshi kwa nchi…
Rais mpya wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah ametangaza Baraza lake la Mawaziri la kwanza na kumteua Lucia Witbooi kuwa Makamu wa…
Leo ni Jumatatu tarehe 23 Ramadhani 1446 Hijria sawa na Machi 24 mwaka 2025.
Rais mpya wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah ametangaza Baraza lake la Mawaziri la kwanza na kumteua Lucia Witbooi kuwa Makamu wa…
Askari sita wa jeshi la Polisi la Kenya wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika shambulio linaloaminika kufanywa na kundi la…
Tunisia imetangaza kujitoa katika Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika (AfCHPR), jambo linaloashiria kupuuza serikali…
Mawakili 77 mashuhuri wa Ujerumani wametoa tamko la kuunga mkono uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wa kuagiza…
Elijah Magnier, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi amesema, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu anafanya…
Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia matukio ya eneo, yakiwemo ya…
Jeshi la Israel limefanya mashambulizi mapya ya kutisha ya anga katika Ukanda wa Gaza na kuua shahidi watu wasiopungua 40,…
Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Brigedia Jenerali Kiumars Heidari amesema…
Zaidi ya raia 45 wameuawa katika shambulio la Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika eneo la Al-Malha, yapata kilomita…
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimevurumisha makombora kuelekea katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel, na kuwatia kiwewe…
Naibu Waziri Mkuu wa Serbia, Aleksandar Vulin amesema nchi hiyo ya eneo la Balkan inawajihiwa na tishio la “mapinduzi ya…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei amelaani vikali shambulio la kigaidi la karibuni dhidi ya…
Amir Saeed Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma zisizo na msingi za…