Rwanda yapiga marufuku mashirika, asasi kushirikiana na Ubelgiji
Serikali ya Rwanda imeyapiga marufuku mashirika yote ya kimataifa na ya kitaifa yasiyo ya kiserikali (NGOs) na mashirika yanayofanya kazi…
Mizozo ya kijeshi duniani
Serikali ya Rwanda imeyapiga marufuku mashirika yote ya kimataifa na ya kitaifa yasiyo ya kiserikali (NGOs) na mashirika yanayofanya kazi…
Raia sita wa Russia wamepoteza maisha huku watalii 39 wa kigeni wakiokolewa wakati nyambizi ya kitalii ilipozama kwenye eneo la…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema anasikitishwa sana na kuendelea kushtadi taharuki na hali ya mambo nchini…
Mark Rutte, Katibu Mkuu wa NATO amesisitiza juu ya umoja wa pande mbili za Bahari ya Atlantiki na kusema kuwa…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu…
Marajii Taqlidi na Maulamaa nchini Iran wamesisitiza juu ya kushiriki pakubwa na kwa hamasa wananchi katika maandamano ya maadhimisho ya…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeashiria katika taarifa yake kuhusu kuuawa shahidi Abdel-Latif al-Qanoua Msemaji wa harakati…
Duru za Kizayuni zimearifu kuwa sauti za ving’ora vya hatari vilisikika jana katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kufuatia shambulio…
Rais Vladimir Putin amesema baadhi ya watu katika nchi za Magharibi hawaielewi Russia, lakini amesisitiza kuwa ukweli huo hauwezi kutatiza…
Ripoti kuhusu vitisho ambayo hutolewa kila mwaka na jamii ya masuala ya ujasusi ya Marekani imekiri kwamba kundi la muqawama…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amepinga viza ya kadi ya dhahabu ya kupewa makazi mkabawa wa dola milioni…
Leo ni Ijumaa tarehe 27 Ramadhani 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 28 Machi mwaka 2025.
Vikosi vya Baharini vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) pamoja na vikosi kutoka Lebanon, Iraq na Yemen,…
Kamanda wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, alirejea Khartoum jana, Jumatano, Kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa mji…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa mwito wa kuhamasishwa walimwengu kujitokeza kwa wingi katika siku za Ijumaa,…
Watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa magenge ya kigaidi wamefanya mashambulizi yaliyoratibiwa dhidi ya kambi ya jeshi la Cameroon karibu na…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baghaei amemkosoa vikali mkuu mpya wa Sera za Kigeni wa…
Kiongozi wa kijeshi wa Niger ameapishwa rasmi kuwa rais wa nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika kwa kipindi cha mpito…
Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Ni furaha iliyoje kuwa nanyi tena wapenzi wasikilizaji katika mfululizo mwengine wa Ramadhani, Mwezi wa Dhifa…
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya…
Waislamu Wapalestina wapatao 180,000 walisali Sala ya Tarawehe katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Baitul-Muqaddas usiku wa kuamkia leo na kujiandaa…
Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limemuua shahidi Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS Abdel-Latif…
Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini kimesema, kiongozi wake Riek Machar, ambaye ni Makamu wa Rais wa nchi hiyo…
Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri ya kiutekelezaji ya kubadilisha mfumo wa uchaguzi na upigaji kura wa nchi hiyo,…
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa biashara yoyote na nchi zinazonunua mafuta na gesi…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito kwa wananchi wa Iran kuonyesha umoja na mshikamano wao…
Ali Bahraini, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi za Umoja wa Mataifa mjini…
Leo ni Alkhamisi tarehe 26 Ramadhani 1446 Hijria sawa na Machi 27 mwaka 2025.
Ziad Al-Nakhala, Katibu Mkuu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina ametoa hotuba kwa mnasaba wa maandalizi ya Siku ya…
Mkuu wa Kamati Kuu ya Intifadha na Siku ya Kimataifa ya Quds amesema kuwa: Tutaadhimisha Siku ya Quds mwaka huu…
Chombo kimoja cha habari cha Marekani kimeandika makala ya uchambuzi na kusema kuwa, mashambulizi ya kijeshi ya Marekani, Israel na…
Mwenyekiti mpya wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika AU, Mahmoud Ali Youssouf, ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuongeza misaada…
Msemaji Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kuendelea mashambulizi dhidi ya raia nchini Sudan, ikiwa ni pamoja na shambulio…
Rais William Ruto wa Kenya amemkosoa hadharini aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Justin Muturi, akitaja kipindi chake cha uongozi kuwa “kisichofaa” katika…
Mwanafunzi mmoja wa Tunisia amekamatwa kwa kuingia uwanjani na kupeperusha bendera ya Palestina wakati wa mechi ya kuwania kufuzu kwa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imemshutumu Waziri Mkuu wa Israel, Benjami Netanyahu kwa “kudanganya familia za [mateka],…
Mamlaka za Libya zimetangaza habari ya kuwaachilia huru wahamiaji 82 waliokuwa wakishikiliwa mateka na kundi la wahalifu likidai kikomboleo.
Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda amesema kwamba kauli ya Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, kwamba Rwanda inapanga kushambulia…
Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kimezindua “mji mkubwa wa makombora” ulioko…
Mamlaha husika nchini Uturuki zimewatia mbaroni waandamanaji zaidi ya 1,4000 huku maandamano ya mitaani yakiendelea kushuhudiwa katika miji mikubwa ya…
Muungano wa Madaktari wa Sudan Kusini (SSDU) umeitaka serikali kushughulikia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaoongezeka nchini humo. Ugonjwa wa…
Makundi ya misaada ya kibinadamu yameripoti kuwa watu wasiopungua 54 wameuawa katika shambulio la anga la jeshi katika soko moja…
Mwakilishi wa Kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa mpito wa Syria waandae mchakato wa kuasisi serikali…
Sambamba na kushtadi mashambulizi ya anga na nchi kavu ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza; Shirika la Kimataifa…
Nabih Berri, Spika wa Bunge la Lebanon amefichua mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kuiburuza nchi hiyo…
Jamhuri ya Kislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya halaiki ya utawala wa Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina katika…
Serikali ya Namibia imetangaza kuwa, raia wa Marekani wanaotaka kuitembelea nchi hiyo itawapasa wawe na viza kabla ya kuingia nchini…
Kufuatia mashambulizi ya Israel dhidi ya kambi za Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kuuawa…
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa Sudan Kusini iko kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe huku ghasia kati ya…
Kosa kubwa la utawala wa Trump katika kutumia mtandao usio na usalama kabla ya kuishambulia Yemen limezusha wimbi la wasiwasi…