Marekani inapokosa mwama; Trump atishia kuiteka kijeshi Greenland
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana yakini eneo la Greenland la Denmark kwa vyovyote vile litatekwa na kukaliwa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana yakini eneo la Greenland la Denmark kwa vyovyote vile litatekwa na kukaliwa…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya jinai iliyofanywa na utawala wa Kizayuni…
Duru za habari zimeripoti kuwa, waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni mwenye misimamo mikali ya chuki amevamia…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy amezungumzia hali ya hatari inayowakabili wafanyakazi wa misaada katika Ukanda wa…
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepanga kufanya mazungumzo ya kwanza kabisa na kundi la waasi wa M23,…
Seneta wa Marekani Cory Booker amevunja rekodi iliyodumu kwa miaka 68 ya hotuba ndefu zaidi kutolewa katika historia ya Seneti…
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani Imran Khan aliyefungwa jela, ameteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel kwa “kazi aliyofanya…
Leo ni Jumanne tarehe Pili Shawwal 1446 Hijria, ambayo inasadifiana na tarehe Mosi Aprili 2025.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitaki kuunda na kumiliki silaha za nyuklia kwa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo…
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Burkina Faso na Niger wiki hii wataelekea ziarani mjini Moscow, Russia. Nchi hizo…
Duru za kitiba zimetangaza kuwa Wapalestina 11 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa…
Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamepinga mchakato unaoendelea wa kuunda upya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), wakimshutumu Rais…
Wataalamu na watunga sera waliohudhuria mkutano kuhusu vipaumbele vya Afŕika wakati wa Urais wa Afrika Kusini wa Kundi G20 wamesisitizia…
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, mwaliko wa Hungary kwa Waziri Mkuu wa…
Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema akizungumzia mpango wa Rais Donald…
Vyanzo vya kijeshi vya Sudan vimetangaza kwamba jeshi la nchi hiyo linapiga hatua mpya kusini mwa El Fasher, mji mkuu…
Kuongezeka himaya na uungaji mkono wa Wacanada kwa bidhaa za nyumbani kumeibua wasiwasi kwa makampuni ya bidhaa mbalimbali ya Marekani.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameonya kwamba shambulio lolote dhidi ya miundombinu ya nyuklia ya Iran linaweza…
Leo ni Jumatano tarehe 3 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili Pili mwaka 2025.
Wiki hii, Jeshi la Yemen lilitangaza kuhusika na mfululizo wa mashambulizi yaliyofanyika kwa ustadi wa hali ya juu na kuzitwanga…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na viongozi wa nchi mbalimbali, akiwapongeza kwa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitamruhusu mtu yeyote kuzungumza nayo kwa…
Wizara ya Ulinzi ya Iran imewaonya vikali maadui kwamba, kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya taifa hili kitakabiliwa na jibu…
Mufti wa Uganda, Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje, ametoa mwito kwa serikali kuu kupiga marufuku programu ya mtandao wa kijamii wa…
Mamia ya watoto wa Kipalestina wameuawa shahidi tangu utawala wa Kizayuni wa Israel uanze tena operesheni za kijeshi katika Ukanda…
Aliyekuwa kinara wa genge moja la waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Thomas Lubanga na ambaye alikuwa mtu wa…
Homa ya Lassa imeua watu 118 nchini Nigeria katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu. Hayo yamesemwa…
Mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, iwapo Marekani itafanya ‘kosa’ lolote, Iran italazimika, kwa mashinikizo ya…
Iran imelaani vikali vitisho vya hivi karibuni vya Rais wa Marekani, Donald Trump, vya kuishambulia nchi hii kijeshi ambapo ameviitaja…
Katika ukiukaji wa wazi wa makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon, jeshi la utawala wa Israel…
Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesema kuwa sera ya Rais Donald Trume ya ‘Marekani Kwanza’ haiwezi kufanikishwa kwa…
Waziri wa Fedha wa utawala haramu wa Israel, Bezalel Smotrich, ametangaza kujiuzulu kutoka wadhifa wake, jambo ambalo linaongeza matatizo ndani…
Jeshi la Yemen limetangaza kuangusha ndege ya kivita ya isiyo na rubani au droni ya Marekani aina ya MQ-9 katika…
Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu (ICRC) limesema kuwa, limeshtushwa na jinsi utawala wa Kizayuni wa Israel unavyofanya jinai za…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar na kutilia mkazo…
Kamanda wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) Mohamed Hamdan Dagalo amekiri kwamba kundi lake limetimuliwa mjini Khartoum, sehemu ya…
Gazeti la Marekani la National Interest limeuchambua mji mpya wa makombora wa Iran na kusisitiza kwamba, kufichuliwa mji huo huku…
Mahakama moja nchini Ufaransa jana Jumatatu ilimpata na hatia ya ubadhirifu, Marine Le Pen, aliyekuwa mgombea urais wa Ufaransa kwa…
Katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yaliyofanyika nchini Nigeria Ijumaa kwa kushirikisha mamia ya Waislamu na wanachama wa…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani shambulizi lililofanywa dhidi ya askari wa kulinda amani wa umoja huo huko…
Mapema leo Jumatatu, katika kikao na viongozi wa serikali, mabalozi wa nchi za Kiislamu na matabaka tofauti ya wananchi wa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza katika ujumbe wake kwamba, tishio lolote la rais wa nchi…
Roketi la anga ya juu ya Ulaya ilimepuka muda mfupi tu baada ya kuzinduliwa.
Katika jitihada za kukwepa siasa na sera za Rais Donald Trump wa chama cha Republican, Wamarekani, baadhi yao wakiwa na…
Makumi ya wanajeshi na raia kutoka makundi yanayoliunga mkono jeshi la Burkina Faso wameuawa katika shambulio linaloshukiwa kufanywa na makundi…
Vitendo vya kikatili vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wanaoishi Gaza vinaendelea, na bado utawala huo unazuia kufikishwa kwa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeendelea kuwaua watu…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, kikosi pekee cha niaba katika eneo hili ni utawala…
Bassem Naim, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: “kwetu sisi tukiwa ni taifa linalokaliwa…