Majaliwa avalia njuga maandalizi Chan
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zenye dhamana nchini kuharakisha maandalizi ya Fainali za…
Mizozo ya kijeshi duniani
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zenye dhamana nchini kuharakisha maandalizi ya Fainali za…
ZIKIWA zimesalia mechi nne kumalizaka kwa msimu wa 2024/25 kwa Ligi Kuu ya Wanawake kuna vita mbili kwenye ligi hiyo…
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema kuna haja waamuzi kuchezesha vyema mechi na kuacha kupendelea timu moja hasa kubwa.…
BAADA ya kukusanya pointi 38 na kukaa kileleni, Kocha wa JKT Queens, Esther Chabruma amesema wanaandaa mikakati ya kupata pointi…
KIUNGO wa Yanga Princess, Lydia Akoth amesema kuonyeshwa upendo na mashabiki wa timu hiyo inampa deni kubwa la kuipambania kuhakikisha…
BEKI wa kati wa Ceasiaa Queens, Anita Adongo amesema yuko nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili kwa changamoto ya…
MSHAMBULIAJI machachari wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah mwenye mabao saba kwenye michezo saba ya ligi, anaamini kuwa msimu huu…
OFISA Mtendaji Mkuu wa Mbeya City (CEO), Ally Nnunduma amesema licha ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo,…
BAADA ya kuiongoza Transit Camp katika michezo saba tu ya Ligi ya Championship, aliyekuwa kocha wa kikosi hicho, Stephen Matata…
KOCHA mpya wa Kiluvya United, Julio Elieza amesema kwa nafasi iliyopo timu hiyo kwa sasa bado haiwapi kiburi cha kuamini…
WAKATI ikibakia michezo mitano kwa ajili ya kumalizia msimu huu wa 2024-2025, timu ya African Sports imekuwa kinara wa kuruhusu…
KOCHA wa Mbeya Kwanza, Maka Mwalwisi amesema kikosi hicho bado kina nafasi ya kumaliza nafasi nne za juu ‘Top Four’…
INAELEZWA Klabu ya Southampton ya Ligi Kuu England imevutiwa na uwezo wa Mtanzania Novatus Miroshi anayekipiga Goztepe ya Uturuki na…
MSHAMBULIAJI wa Makadi FC, Oscar Evalisto amesema mkataba wake na klabu hiyo inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Misri umemalizika na…
BEKI wa kati wa FC Juarez, Julietha Singano inayoshiriki Ligi ya Wanawake Mexico anazidi kung’ara akiingia kwenye kikosi bora cha…
MECHI mbili za mwisho ilizocheza Brighton baada ya mshambuliaji wa Kitanzania, Aisha Masaka kutoka kwenye majeraha ameendelea kusalia kwenye benchi.…
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay amesema amejiandaa kushinda mbio za Yangzhou Half Marathoni zitakazofanyika kesho Jumapili Machi 30,…
KAMA alivyosema Kocha wa Simba, Fadlu Davids kwamba watahakikisha wanaimaliza mechi dhidi ya Al Masry hukohuko Misri, ndicho walichoamua kukifanya…
YANGA imemalizana na Songea United katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (FA) uliochezwa jana Jumamosi…
BAADA ya kumaliza kambi ya siku 10 katika Kituo cha Magereza Kiwila mkoani Mbeya, Tanzania Prisons imetua jijini Dar es…
LIGI inatarajia kurejea keshokutwa ambapo kocha wa JKT Tanzania, Ahmed Ally ametaja mbinu tatu zitakazombeba kwenye mechi saba zilizobaki huku…
WAKATI Namungo inapambana kujiengua kwenye hatari ya kushuka daraja, Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema anafahamu mtihani alionao, lakini akiwatoa hofu…
WAKATI African Sports (Wana Kimanumanu) ya jijini Tanga ikipambana kubaki katika Ligi ya Championship, ukata unazidi kuiandama timu hiyo kiasi…
TIMU ya Taifa ya Riadha ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), imetwaa ubingwa wa kilomita 10 upande…
PRIME Benchikha atia mkono Misri, aitaja Simba KOCHA wa zamani Simba, Abdelhak Benchikha, ambaye yupo nchini Misri akiifundisha Modern Sport,amewapa…
WAKATI Ligi Kuu Bara inatarajiwa kurejea Jumanne, Aprili Mosi baada ya kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za…
YANGA inacheza na Songea United Jumamosi hii saa 10 jioni kwenye mechi ya FA. Lakini Kocha Hamdi Miloud kuna kitu…
KOCHA wa zamani Simba, Abdelhak Benchikha, ambaye yupo nchini Misri akiifundisha Modern Sport,amewapa Simba mbinu tatu za haraka za kuwakabili…
LICHA ya kushindwa kubebwa na rekodi ya kupata matokeo mazuri mechi za ugenini Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Kally…
MAJERAHA yamekiweka rehani kibarua cha staa wa zamani wa Yanga, Yacouba Sogne baada ya upasuaji wa goti nchini Morocco kukamilika…
KOCHA Mkuu wa Singida Big Stars (SBS), David Ouma amesema Azam FC na Tabora United zimeshika hatma ya timu hiyo…
Katika juhudi za kuimarisha utalii wa ndani na kikanda, Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) imeingia ushirikiano na klabu ya Yanga…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limeufungulia Uwanja wa Benjamin Mkapa kutumika kwa mechi za kimataifa za kimashindano, uamuzi…
Baada ya Ivory Coast kutangaza kujitoa kuandaa fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20…
BAADA ya jana kupigwa michezo mitatu ya Ligi ya Championship katika viwanja mbalimbali, leo mechi moja nyingine itapigwa kati ya…
Hersi afichua yaliyojadiliwa kwenye kikao cha Waziri Kabudi ishu ya Dabi SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo…
SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo? Hiyo ni baada ya…
HATIMAYE viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), na wale wa Bodi ya Ligi (TPLB) wamemaliza kikao chao na wizara…
Katika kuhakikisha michezo ya jadi ikiwamo ngoma za asili, mchezo wa rede na mingine inachezwa na kuendelezwa, Mkoa wa Shinyanga…
Simba nao wamemaliza kikao chao na Wizara ya Utamaduni, Sanaaa na Michezo huku ikikana ajenda ya mchezo dhidi ya Yanga…
SIMBA inakwenda Misri kucheza mechi ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry huku ikipiga…
SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo? Hiyo ni baada ya…
Ligi ya Kikapu Mkoa wa Shinyanga imepangwa kuanza Mei 1 na kinachosubiriwa kwa sasa ni timu kuthibitisha kwa kulipia fomu…
Kocha wa Ukonga Queens, Denisi Lipiki amesema timu yake itashiriki Ligi ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa Wanawake (WBDL).…
Viongozi wa timu zinazoshiriki ligi ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), walikuwa wakipigana vikumbo kusaka saini za wachezaji wapya…
Viongozi wa timu zinazoshiriki ligi ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), walikuwa wakipigana vikumbo kusaka saini za wachezaji wapya…
TIMU tano za Ligi ya Mpira wa Kikapu Dar es Salaam (BDL), zimeshindwa kuanza mazoezi hadi sasa na kuonekana zitakuwa…
STRAIKA wa magoli aliyewahi kuwika na Simba, Yanga na sasa Meneja wa Singida Black Stars,Amissi Tambwe anaona uwezekanako wa Jonathan…
KAMA mambo yataenda kama yalivyo, Azam FC ina mpango wa kumtema kipa Mohamed Mustafa raia wa Sudan sababu ikitajwa ni…
DAKIKA 90 za Tabora na Kagera Ijumaa hii katika robo fainali ya FA zina maana kubwa. Ni mechi itakayopigwa ndani…