Chirwa ashtua, Bwenzi aendeleza moto Ken Gold ikiilaza Fountain Gate
Achana na ushindi wa mabao 2-0 waliopata Ken Gold dhidi ya Fountain Gate, ishu ilikuwa ni staili ya ushangiliaji wa…
Mizozo ya kijeshi duniani
Achana na ushindi wa mabao 2-0 waliopata Ken Gold dhidi ya Fountain Gate, ishu ilikuwa ni staili ya ushangiliaji wa…
WACHEZAJI saba kati ya 37 waliopata majeraha katika ajali ya gari la timu ya Dodoma Jiji FC bado wanapatiwa matibabu…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Lionel Ateba amemtaja beki wa timu hiyo, Che Fondoh Malone kama mtu aliyechangia kwa kiasi kikubwa kuzoea…
SIMU ya upande wa pili ikakatwa. Nikabaki nimeduwaa nikiwaza. Taarifa ile sikuitarajia kabisa. Kama tukio hilo lingetokea wakati Mustafa hayupo,…
BAO la kufutia machozi la KenGold lililowekwa kimiani na kiungo, Seleman Rashid ‘Bwenzi’ limekuwa gumzo kwa mashabiki, lakini likiingia kwenye…
“UNA maana kwamba huyo mfungwa mko naye hadi sasa?”“Tuko naye.”“Kuna watu wameitambua picha yake wakidai kuwa amehusika katika tukio moja…
KIKOSI cha Dodoma Jiji kimepata ajali ya basi kikitokea Ruangwa mkoani Lindi kuja jijini Dar es Salaam, baada ya jana…
Kesho, Jumanne ya Februari 11, 2025 Yanga watasherehekea miaka 90 ya kuanzishwa kwao. Wenyewe wanasema klabu yao ilianzishwa tarehe kama…
LILE dili la bilioni 3 limeota mbawa. Ndicho unachoweza kusema baada ya miamba ya soka ya Libya Al Ettihad kuachana…
Wakati mashabiki wa Mtibwa Sugar wakianza hesabu za vidole kwa chama lao kurejea tena Ligi Kuu, kocha wa timu hiyo…
BAO la dakika ya 88 lililofungwa na nyota wa zamani wa Yanga, Deus Kaseke limetosha kuipatia ushindi Pamba Jiji wa…
KIKOSI cha Yanga kinashuka uwanjani leo kukabiliana na JKT Tanzania, lakini mashabiki wa timu hiyo watakuwa na shauku ya kujua…
KLABU kutoka ukanda wa Afrika Kaskazini, maarufu kama Waarabu wameendelea kuvuna watu kutoka katika Ligi Kuu Bara baada ya safari…
Siku chache baada ya kocha wa Simba, Fadlu Davids kupiga chini ofa ya kujiunga na FAR Rabat, timu hiyo ya…
BAADA ya kukwama kutua KMC iliyokuwa ikimpigia hesabu dirisha dogo, mshambuliaji matata wa Tabora United, Offen Chikola imedaiwa sasa ameingia…
MASHABIKI wa Yanga wanataka kuona mavitu ya kocha mpya wa timu hiyo, Miloud Hamdi wakati atakapokiongoza kikosi hicho katika mchezo…
DABI ya watani wa jadi inayowakutanisha Simba na Yanga itapigwa Machi 4 baada ya mapumziko ya siku 30 ya Ligi.…
BAADA ya kuikalia kooni Simba Queens hadi dakika za jioni ikichapwa bao 1-0, Ceasiaa Queens imesema imeanza mipango ya kuzisaka…
KOCHA wa Get Program iliyopanda daraja msimu huu, Aristides Ngowi licha ya kuwa na wachezaji wengi vijana ambao hawana uzoefu…
KOCHA wa Gets Program iliyopanda daraja msimu huu, Aristides Ngowi licha ya kuwa na wachezaji wengi vijana ambao hawana uzoefu…
KOCHA wa Yanga Princess, Edna Lema ‘Mourinho’ amesema ushindi wa mechi nne mfululizo kwenye ligi zinachangiwa na juhudi za wachezaji…
WAKATI Ligi ya Wanawake ikisaliwa na mechi sita, Ligi ya Mkoa nayo ikitarajiwa kuanza, Ukerewe Queens ambayo kwa sasa inaitwa…
MSHAMBULIAJI wa Ain Diab ya Morocco, Jaruph Juma amesema kuchaguliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa soka la ufukweni inampa…
NYOTA wa Kitanzania, Malaika Meena amesema ana furaha kubwa kujiunga na Bristol City inayoshiriki Ligi ya Wanawake ya Championship ya…
MOTO wa straika wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Clara Luvanga haupoi na safari hii anawania tuzo ya mchezaji bora…
“WACHA we…!” “Nampa kila kitu anachotaka.” “Usiniambie…” “Ndio nakwambia shoga. Usione kimya, kimya kingi kina mshindo!” “Na kweli kina mshindo,…
KIUNGO Mtanzania, Charles M’Mombwa anayekipiga Newcastle Jets ya Australia taratibu anaanza kuingia kwenye kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu ya nchini…
ACHANA na beki Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ wa Yanga kuingia kambani mara nne akiwa ni beki pekee mwenye mabao mengi Ligi…
ALIPOONDOKA Tegeta, Temba alielekea Segerea. Aliegesha gari nje ya gereza hilo akaelekea kwenye lango la kuingilia gerezani. Askari wa magereza…
NYOTA wa Tanzania, Madina Iddi na Vicky Elias wameambulia patupu kwenye mashindano ya gofu ya mashimo 36 ya R&A yaliyofanyika…
CHAMA cha mchezo wa mbio za magari duniani, FIA kimetoa kalenda mpya ya mbio za magari ubingwa wa Afrika na…
ISAAC na Mkwetu wakazirudia tena zile picha zilizokuwa kwenye kuta. Walipomaliza kuzikagua picha zote walimwambia Temba hawajagundua picha nyingine. Ndipo…
BAADA ya kupata pointi nne katika michezo miwili akiwa na TMA FC ya jijini Arusha, kocha wa kikosi hicho, Mohamed…
KOCHA wa African Sports ‘Wanakimanumanu’, Kessy Abdallah amesema angalau kwa sasa timu hiyo inaendelea kuimarika tofauti na mwanzoni na sababu…
KOCHA wa Maafande wa Polisi Tanzania, Mussa Rashid amesema moja ya malengo aliyopewa ni kuhakikisha timu hiyo inamaliza nne bora…
KIUNGO wa Cosmopolitan, Gilbert Boniface amesema kikosi hicho kwa sasa kinapitia kipindi kigumu kutokana na kutokuwa na mwenendo mzuri katika…
KIUNGO mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Fredrick Magata amesema anajisikia fahari kucheza ndani ya kikosi hicho msimu huu, huku akiweka wazi…
SELE akasita kujibu. “Mchumba wangu mbona umenyamaza?” Nikamuuliza. “Naona unaniuliza maswali mengi, ninashindwa kukujibu.” “Haya nimekubali. Sasa umenichagulia jina gani?”…
ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Sead Ramovic amevunja ukimya akiwa Algeria kwa kuzungumzia kilichomfanya aachane ghafla na mabingwa hao wa kihistoria…
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefichua kasi yake ya kutengeneza mabao haitapoa kwani ana malengo makubwa…
WANAYANGA hivi sasa wanatamba baada ya kuishusha Simba kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara hali inayoongeza presha ya kubeba…
KITENDO cha Kocha Miloud Hamdi kukabidhiwa kikosi cha Yanga huku zikipita takribani siku nne pekee, mwenyewe ametoa kauli inayoweza kuwa…
RAUNDI ya 18 ya Ligi Kuu Bara itaanza kesho kwa michezo miwili kupigwa kwenye viwanja viwili, mchezo wa mapema saa…
KOCHA wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema sababu kubwa za mshambuliaji nyota wa timu hiyo, John Bocco kushindwa kucheza mchezo…
SOKA lina burudani yake, lakini ndani ya wanaocheza pia wana burudani zao mbalimbali ambapo timu nyingi zikiwa kambini baadhi ya…
UPEPO umebadilika! Ndio, kiungo Yusuf Kagoma amejipatia umaarufu baada ya wababe wa Kariakoo, Simba na Yanga kumnyatia na mmoja kati…
Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka akihoji wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Star (SBS), kupewa…
MAKOCHA na wachezaji wa zamani wamemkingia kifua winga wa Simba, Ladaki Chasambi kwa kosa lililotokea juzi wakiliomba benchi la ufundi…
KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujiandaa na mchezo utakaopigwa keshokutwa dhidi ya JKT Tanzania huku, nahodha msaidizi, Dickson Job akiwatega mabosi…
UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani akitumika kama kiungo, lakini…