FADLU DAVIDS: TULIWABANA YANGA, SAFARI HII TUTAWATAWALA | DABI YA MOTO KESHO?
PRIME Dabi yaliza wengi kwa hasara waliyopata, Yanga yajipanga kwenda CAS KUSHINDWA kupigwa kwa pambano la Dabi ya Kariakoo Jumamosi…
Mizozo ya kijeshi duniani
PRIME Dabi yaliza wengi kwa hasara waliyopata, Yanga yajipanga kwenda CAS KUSHINDWA kupigwa kwa pambano la Dabi ya Kariakoo Jumamosi…
LICHA ya kugubikwa na sintofahamu ya kuchezwa mwa mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya wenyeji Yanga na Simba, mashabiki wa…
SAKATA la Simba kugomea mchezo dhidi ya watani wao, Yanga, limechukua sura mpya baada ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania…
KLABU ya Simba imetoa taarifa rasmi kwamba haitashiriki kwenye mchezo wa watani wa jadi uliopangwa kufanyika leo, Machi 8, 2025.…
Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga, Jumamosi, Machi 08, 2025 katika Uwanja…
Uongozi wa Simba umeitisha kikao cha dharura usiku huu kujadili kuzuiliwa kwa timu yao kufanya mazoezi katika Uwanja wa Benjamin…
Mashabiki wa Yanga maarufu kwa jina la makomandoo wameuzuia msafara wa watani wao, Simba kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa, usiku…
UBABE, soka la kasi na burudani ndani na nje ya uwanja vinatarajiwa katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo unaopigwa leo…
KOCHA wa zamani wa Yanga, Raoul Shungu ameitahadharisha timu hiyo akiwaambia wawe makini na kiungo wa mshambuliaji wa Simba, Elie…
MASKAUTI wawili kutoka Sweden, Jamal Osman na Nahom Tesfaye, wameharakisha safari yao kurejea jijini Dar es Salaam ili kuja kumtazama…
SIKU chache baada ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI kufunga ndoa na mwanamitindo, Hamisa Mobetto kapo yao imewekwa…
NDIVYO ukweli ulivyo. Yanga ina kila sababu ya kujiita Baba Lao katika soka la Tanzania, kwani unaambiwa, licha ya kusumbuana…
KWA sasa kuna kelele nyingi kuhusu Yanga kuifunga Simba mara nne mfululizo, lakini kama hujui ni, Simba iliwahi kuhenyeshwa kwa…
DABI ya Kariakoo ina utamu wake, ikiwamo baadhi ya wanandugu kuweka historia ya kucheza mechi hizo za Watani wa Jadi.…
SIJUI ni maendeleo au kitu gani, lakini unaambiwa miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na imani flani zilizokuwa zikiwafanya mashabiki wa…
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa WBO Afrika katika uzani wa middle, Hassan Mwakinyo anashikiliwa…
KAMA wewe ni mtoto wa 2000, huenda hii inaweza kuwa ngumu kuamini, lakini ukweli ni Dabi ya Kariakoo kwa sasa…
HUTOKEA mara chache mno katika soka, lakini utani wa jadi wa Simba na Yanga ni zaidi ya burudani, kwani mwaka…
MASHABIKI wa Yanga na Simba wanaendelea kusubiri kuona ni kitu gani kitatokea kabla ya timu hizo kushuka katika pambano la…
KILA mtu anazungumza tukio moja tu kuhusu mechi kubwa Afrika Mashariki na Kati linalohusisha mechi ya Yanga na Simba. Huo…
JOTO limepanda kati ya Yanga dhidi ya Simba, mchezo unaopigwa leo pale Uwanja wa Benjamin Mkapa. Timu zote zinatokea kambini…
MWISHO wa ubishi. Wakati pambano la Dabi ya Kariakoo likipigwa leo Jumamosi, huku kila upande ukitamba na washambuliaji wenye uchu…
DABI ya Kariakoo, mechi kati ya Yanga na Simba ni tukio lenye umaarufu mkubwa siyo tu kwa wapenzi wa soka,…
WAKATI watani wa jadi wa soka la Bongo, Simba na Yanga, wakitarajiwa kushuka dimbani katika dabi inayonadiwa kwa kaulimbiu ya…
PRIME Aziz KI atinga kambini, afanya kikao na kocha HII inaweza kuwa taarifa njema kwa mashabiki wa Yanga, baada ya…
LICHA ya kubakiwa na mechi saba kwa upande wa Yanga ukiondoa mchezo wa Jumamosi huku Simba wakibakiwa na mechi nane,…
KATI ya mambo ambayo wachezaji wa Simba na Yanga wanapenda kuyafanya katika maisha yao ya soka ni kucheza mechi za…
HUKO mtaani hadi mtandaoni, gumzo ni taarifa zilizovuja mapema Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amepewa kibano kwa kufungiwa kutokana…
KATIKA mambo ambayo mashabiki wa soka wanapenda kuyaona kwenye Kariakoo Dabi Jumamosi hii, basi nyavu kutikiswa tena ikiwezekana kwa idadi…
MASHABIKI wa soka nchini wanahesabu saa tu kwa sasa kabla ya Yanga na Simba kushuka uwanjani kesho Jumamosi katika pambano…
Yanga Princess imetwaa ubingwa wa michuano ya Samia Women’s Super Cup 2025 baada ya kuitandika JKT Queens mabao 3-0 kwenye…
Mshambuliaji wa Fountain Gate, Elie Mokono ameibuka shujaa kutokana na mabao yake mawili kutosha kuwapa pointi tatu wakiichapa KMC 1-2.…
LICHA ya kwamba imeshapita miaka zaidi ya sita tangu Emmanuel Okwi alipoondoka nchini baada ya kumalizana na Simba aliyokuwa akiichezea,…
SARE tatu mfululizo ilizopata KenGold katika mechi za Ligi Kuu Bara, zimemshtua kocha wa timu hiyo, Omar Kapilima na kusema…
SAFU za ulinzi kwa timu zote sita zinazotarajia kuchuana leo zina vibarua kupunguza makosa kutokana na timu hizo kuchuana kwa…
Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam litapigwa pambano la watani wa jadi wa soka nchini, Simba na…
WAKATI kaimu kocha mpya wa Mashujaa, Charles Fred akichekelea kuanza vyema kibarua baada ya kuambulia sare ya 2-2 ugenini mbele…
Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali amesema mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani marehemu Profesa Philemon Sarungi alikuwa msaada…
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC)…
BAHATI ni kitu cha msingi sana hapa duniani na hasa unapokuwa na bahati kama ya mtu anayeitwa Bernard Morrison, winga…
Benchi la ufundi la Tabora United, limekiri kuwa vita yake na Singida Black Stars kuwania nafasi moja mojawapo kati ya…
Mshambuliaji wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema yeye na wenzake katika eneo la ushambuliaji wameshajua tatizo lililopo la ufungaji wa…
KAPTENI Mbwana Samatta alitupa unyonge sana mwanzoni mwa msimu huu kutokana na kutopata nafasi ya kutosha ya kucheza katika kikosi…
KESHOKUTWA mida ya saa 1:15 usiku kitaanza kuwaka pale kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa mechi moja tamu sana ya…
UONGOZI mpya wa Simba, tawi la Mafinga mkoani Iringa umesema kazi ya kwanza katika majukumu yao ni kuondoa uteja pale…
Ken Gold imeshindwa kujinasua mkiani baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Mashujaa, huku mashabiki wa timu hiyo…
Timu mbili ambazo zimetinga fainali ya Samia Women’s Super Cup 2025 kitemi, Yanga Princess na JKT Queens, kesho zitatoa majibu…
LIGI Kuu Bara imeanza kuchangamka kwani ngwe ya lala salama imezifanya kila timu iingie uwanjani ikiwa na mkakati mkali sana…
WANASEMA mchezo wa Dabi hauna mwenyewe. Mara kadhaa matokeo yake huwa ya kushangaza yakiwa hayajatarajiwa na wengi, lakini wakati mwingine…
HII inaweza kuwa taarifa njema kwa mashabiki wa Yanga, baada ya kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephane Aziz KI kuonekana…