Canada na Ulaya zaja juu kuhusu vita vipya vya ushuru vya Trump

Katika hotuba yake Alkhamisi jioni, Waziri Mkuu wa Canada alitangaza kumalizika fungate na uhusiano wa kina wa nchi yake na Marekani. Umoja wa Ulaya nao umesema utachukua hatua za kivitendo kukabiliana na vita hivyo vya ushuru vya Trump.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *