CAIR: Matukio ya chuki dhidi ya Waislamu nchini Marekani yalivunja rekodi katika mwaka 2024

Vitendo vya ubaguzi na mashambulizi dhidi ya Waislamu na Waarabu nchini Marekani vilivunja rekodi mnamo mwaka uliopita wa 2024 sambamba na kuendelea vita vya kikatili vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ghaza Oktoba 7, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *