Burkina Faso yatoa pasipoti mpya bila ya nembo ya ECOWAS

Utawala wa kijeshi nchini Burkina Faso jana Jumatano ulitoa pasi mpya za kusafiri za kibayometriki bila ya kuwemo nembo yoyote ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS).