Burkina Faso: Madola ajinabi yanawazidishia matatizo kwa makusudi watu wa Sahel

Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso jana alihutubia katika majadiliano ya ngazi ya juu katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York na kusema nchi yake inaendelea kupambana na makundi ya kigaidi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo yanayoyumbisha hali ya usalama nchini humo.