Bunge la Iran lapiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri wa Uchumi

Wabunge katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamepiga kura ya kumuondoa katika wadhifa wake Waziri wa Masuala ya Uchumi na Fedha wa Jamhuri ya Kiislamu, Abdolnaser Hemmati wakati wa kikao cha kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.