Baraza la Taifa la Algeria, ambalo ni baraza la juu la bunge, lilisitisha uhusiano wake na Seneti ya Ufaransa siku ya Jumatano kufuatia ziara ya spika wa seneti hiyo katika eneo la Sahara Magharibi linalozozaniwa.
Related Posts
Wanawake na watoto, wahanga wakuu wa unyanyasaji wa kingono DRC
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema katika ripoti yake ya karibuni kabisa iliyotolewa jana Ijumaa kwamba,…
Timu ya Trump yakutana kwa siri na wapinzani wa rais wa Ukraine
Marekani inaendelea kuishinikiza serikali ya Ukraine ili ikubali kukabidhi utajiri wake wa madini ya kipekee mikononi mwa viongozi wa White…
Ijumaa, tarehe 7 Februari, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 08 Shaabani 1446 Hijria sawa na tarehe 7 Februari 2025. Post Views: 32