#BREAKINGNEWS:Wakili Boniface Mwabukusi amekuwa mshindi wa Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) akiwashinda Wanasheria…

#BREAKINGNEWS:Wakili Boniface Mwabukusi amekuwa mshindi wa Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) akiwashinda Wanasheria wengine watano waliokuwa wakiwania nafasi hiyo, kwa kupata kura 1,274 huku Sweetbert Nkuba akipata kura 807.

Mwabukusi anakwenda kuiongoza TLS kwa kipindi cha miaka mitatu.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania