Binti wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Zuma akamatwa kwa tuhuma za ugaidi

Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amekamatwa na alitarajiwa kufikishwa mahakamani leo Alhamisi kujibu mashtaka ya ugaidi.