Biden atoa wito wa kufanyia marekebisho Katiba ya Marekani, aonya dhidi ya kulimbikizwa madaraka mikononi mwa matajiri

Rais anayeondoka wa Marekani, Joe Biden, ametoa wito wa kufanyiwa marekebisho Katiba ya nchi hiyo ili kuzuia rais yeyote kupata kinga ya uhalifu anaoweza kuufanya akiwa madarakani.