Benin yarejesha kiti cha kifalme kilichoporwa na wazungu wakati wa utawala wa kikoloni

Wizara ya Utalii, Utamaduni na Sanaa ya Benin imetangaza kwamba kitu cha nadra cha kifalme kinachoitwa “Katakli” kitarejeshwa rasmi nchini humo kutoka Finland, ikiwa ni hatua ya hivi karibuni zaidi katika juhudi zinazoendelea kufanywa na Benin kurejesha urithi wake wa kitamaduni ulioporwa na wakoloni wa Ulaya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *