Ben-Gvir: Israel imegeuzwa kuwa ‘kioja’ Mashariki ya Kati

Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani wa Israel, Itamar Ben-Gvir amesema utawala huo wa Kizayuni umekuwa kioja na kichekesho katika eneo la Asia Magharibi.