Ben-Gvir aagiza kufungwa ofisi ya Mfuko na Wakfu wa al-Quds

Waziri wa wa Israel mwenye misimamo ya kufurutu ada, Itamar Ben-Gvir, ameamuru kufungwa kwa ofisi ya Mfuko na Wakfu wa al-Quds katika eneo la Quds Mashariki linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni; huu ukiwa ni ukiukaji wa wazi wa kanuni za kimataifa, ukiashiria hatua nyingine ya kichokozi inayowalenga Wapalestina katika eneo hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *