Beijing: Majeshi ya Iran, Russia, China kufanya mazoezi ya pamoja ya majini

Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini yatakayohusisha vikosi vya wanamaji vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na China yamepangwa kufanyika katika eneo la kaskazini mwa bahari ya Hindi, ambapo mataifa hayo matatu yatashiriki katika operesheni kubwa za baharini zinazojumuisha vitengo mbalimbali vya vikosi vyao vya jeshi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *