Baraza la Usalama laongeza muda wa UNMISS kwa mwaka mmoja Sudan Kusini

Baada ya majuma kadhaa ya mazungumzo makali, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa kikosi cha kulinda amani nchini Sudan Kusini, UNMISS, kwa mwaka mmoja mwingine, huku likitaka kusitishwa mara moja kwa mapigano kati ya pande hasimu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *