Baraza la Mawaziri latangaza tena itiifu wao kwa malengo ya kiongozi mwasisi, Imam Khomeini

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na baraza lake la mawaziri mapema leo wamezuru haram ya mwasisi Jamhuri ya Kiislamu na kutangaza tena utiifu na mfungamano wao kwa thamani na malengo ya Imam Ruhullah Khomeini (Mwenyezi Mungu amrehemu).