Baqaei: IAEA inatakiwa kufanyia kazi masuala ya kiufundi, na si ya kisiasa

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Iran inataraji kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) utachukua hatua kwa mujibu wa majukumu yake ya kiufundi kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *