Baqaei: IAEA haipaswi kutoa maoni kwa mujibu wa matashi ya kisiasa

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: “Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) haupaswi kotoa maoni kwa kuzingatia mitazamo ya kisiasa.”