Balozi wa Trump: Russia haitaki kushambulia Ulaya

Mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi), Steve Witkoff amepuuzilia mbali madai kwamba Russia ina nia ya kuzivamia nchi nyingine za Ulaya, akisisitiza kuwa hofu hizo ni za “kipuuzi”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *