Balozi wa Iran UN ajibu tuhuma zisizo na msingi za utawala ghasibu wa Israel

Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amezitaja tuhuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran kuwa hazina msingi wowote akisema ni jaribio la kuficha harakati za uharibifu za utawala huo dhidi ya nchi za eneo la Magharibi mwa Asia.