Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mauaji ya watoto yanayofanywa na Israel huko Ghaza yamevunja rekodi zote duniani na kwamba huo ni uhalifu wa kivita, ni jinai dhidi ya ubinadamu na ni mauaji ya umati kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
Related Posts
Kiongozi Muadhamu awasamehe wafungwa zaidi ya 3,000 kwa mnasaba wa maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ameidhinisha kusamehewa kikamilifu au sehemu ya adhabu wafungwa zaidi ya 3,000…
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ameidhinisha kusamehewa kikamilifu au sehemu ya adhabu wafungwa zaidi ya 3,000…
Kugonga mwamba mpango wa Serikali ya Marekani wa kuiwekea vikwazo ICC
Baraza la Seneti la Marekani halijauidhinisha mswada wa vikwazo dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, vikwazo ambavyo ni…
Baraza la Seneti la Marekani halijauidhinisha mswada wa vikwazo dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, vikwazo ambavyo ni…
Eslami aitaka IAEA kutoegemea upande wowote katika mazungumzo ya kati ya Tehran na Washington
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa Tehran inataraji kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya…
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa Tehran inataraji kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya…