Baghaei: Barua ya Rais wa Marekani kwa Iran inachunguzwa

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa baada ya tathmini na uchunguzi kamili wa barua ya Rais wa Marekani kwa Iran, uamuzi utafanywa kuhusu jinsi ya kujibu barua hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *