‘Baba wa Taifa’ wa Namibia aaga dunia akiwa na miaka 95

Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika mji mkuu wa nchi hiyo, Windhoek.