“Baba ambacho hapaswi kukifanya ni kule kujiona kwamba yeye ni dili hamnifanyi kitu hata akifanya nini…, hakika baba tuwe na tabia ya kusikiliza unachoshauriwa na mwenzi wako ambaye ni mama”, Baba, Wilbard Msofe.
✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates