Baadhi ya Waislamu waswali Iddi leo, wengine kuadhimisha sikukuu hii kesho

Baadhi ya Waislamu katika maeneo tofauti duniani wameswali Swala ya Iddul-Fitri leo Jumapili, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa siku 29; huku wengine wakitazamiwa kuadhimisha sherehe hizo kesho Jumatatu.