Baada ya kuzindua barabara na kukagua ujenzo wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma, Rais Samia Suluhu Hassan …

Baada ya kuzindua barabara na kukagua ujenzo wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma, Rais Samia Suluhu Hassan …

Baada ya kuzindua barabara na kukagua ujenzo wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza ziara ya kikazi mkoani Simiyu kuanzia Juni 15 hadi 19 huku akitarajiwa kuzindua miradi ya maendeleo ikiwemo ofisi ya Mamlaka ya Mapato nchini (TRA).

Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi ametoa taarifa hiyo mapema leo Juni 14, 2025.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *