Baada ya kutimuliwa na kukabidhi kambi, sasa wanajeshi wa Ufaransa waanza kufungasha virago Senegal

Baada ya serikali ya Senegal kuwatimua na kuwalazimisha wakabidhi kambi zao, sasa wanajeshi wa mkoloni wa Ulaya yaani Ufaransa, wameanza rasmi kuondoka katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.