Baada ya kushambuliwa Port Sudan, serikali ya Khartoum yakata uhusiano na Imarati

Serikali ya Sudan ilitangaza jana Jumanne kwamba imeamua kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kumrejesha nyumbani balozi wake, ikitangaza kuwa Imarati ni “nchi chokozi.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *