Baada ya jinai mpya za Ghaza, sasa milango ya mashimo ya kujifichia Wazayuni imefunguliwa Tel Aviv

Leo Jumanne, viongozi ya Israel wamelazimika kufunga milango mashimo na mahandaki wanayojifichia Wazayuni baada ya utawala wa Kizayuni kufanya jinai mpya Ghaza. Wazayuni wameingiwa na hofu kubwa ya makundi ya Muqawama kulipiza kisasi cha jinai za usiku wa kuamkia leo za Israel huko Ghaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *