Baada ya Ikulu, Jeshi la Sudan lateka Benki Kuu na maeneo muhimu ya mji mkuu Khartoum

Jeshi la Sudan jana Jumamosi liliendeleza ushindi wake kwa kuiteka tena Benki Kuu na maeneo kadhaa ya kimkakati na majengo ya serikali katikati mwa Khartoum, yakiwemo pia makao makuu ya Mkuu wa Ujasusi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *