Azimio la Siku ya Kimataifa ya Quds: Tutakabiliana na uhasama wa Marekani na kuihami Palestina

Washiriki katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds wamesisitiza udharura wa kukabiliana vikali na uhasama wa Marekani na kuunga mkono malengo ya mapambano ya ukombozi wa Palestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *