Ayatullah Seddiqi: Uwekezaji kwa ajili ya uzalishaji utastawisha nchi

Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ameeleza kuwa, uzalishaji ni mhimili wa ustawi wa maisha ya watu na ni chachu ya maendeleo na ajira na kusema: “Serikali lazima irahisishe njia za kuvutia viitegauchumi na rasilimali za wananchi kwa kutumia wataalamu mahiri.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *