Khatibu wa Swala ya leo ya Ijumaa katika jiji la Tehran ameashiria mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani kuhusu suala la nyuklia na kuondolewa vikwazo na akasema: “Katika mazungumzo hayo, tunapasa kuwa makini na tusimtegemee yoyote isipokuwa Mwenyezi Mungu, tusichoke kupambana, na tusifungamanisha hatima yetu na mazungumzo.”
Related Posts
Dharura ya kiwango cha kikanda imetangazwa katika eneo la mpakani la Belgorod – gavana
Dharura ya kiwango cha kikanda imetangazwa katika eneo la mpakani la Belgorod – gavana“Baadaye, tutaomba tume ya kiserikali kutangaza dharura…
Dharura ya kiwango cha kikanda imetangazwa katika eneo la mpakani la Belgorod – gavana“Baadaye, tutaomba tume ya kiserikali kutangaza dharura…
Mwangwi wa hasira za wananchi wa Morocco dhidi ya jinai za Israel
Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano huko Rabat, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani jinai za utawala wa Kizayuni…
Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano huko Rabat, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani jinai za utawala wa Kizayuni…
Russia yaitaka Ulaya iache vitisho dhidi ya Iran
Russia imekosoa vikali vitisho vya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vya kuamilisha mchakato wa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kutaja…
Russia imekosoa vikali vitisho vya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vya kuamilisha mchakato wa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kutaja…