Mikakati yawekwa juu ya ujumuishaji wa watu wenye ulemavu katika mabadiliko ya tabianchi
Na Mwandishi Wetu, Berlin-Ujerumani Mfuko wa Dunia wa Watu wenye Walemavu (Global Disability Fund – GDF) umezikutanisha nchi zaidi ya…
Mizozo ya kijeshi duniani
Na Mwandishi Wetu, Berlin-Ujerumani Mfuko wa Dunia wa Watu wenye Walemavu (Global Disability Fund – GDF) umezikutanisha nchi zaidi ya…
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Hali si shwari kwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, Dk. Charles Kimei (CCM)…
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Usonji, Serikali imepaza sauti kwa jamii kupunguza uwezekano wa kupata…
aa The post PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 3,2025 appeared first on Mzalendo.
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30,…
Dar es Salaam. Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia…
Dar es Salaam. Wakati wanaume wakiona ni wajibu kutoa zawadi kwa wanawake, wao wanasema hilo linatokana na utamaduni uliojengeka kwa…
ILI kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0…
Na Mwandishi wetu Wadau mbalimbali na Watanzania wameobwa kujitokeza kwa wingi kudhamini Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu litakalofanyika katika mikoa…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Masasi, mkoani Mtwara,…
Tunduru. Diwani wa Mchoteka (ACT-Wazalendo), Seif Dauda na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma, Said Mponda na baadhi…
Yanga imezidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo, Aprili 2, 2025 kuibuka na ushindi…
Unguja. Meli ya utafiti wa bahari na samaki, Dk Fridtjof Nansen kutoka Norway, inatarajiwa kuanza utafiti wake nchini. Utafiti huo…
Dodoma. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa…
Kahama. Watu wawili akiwemo dereva wa bajaji Rajabu Hussein (mwenye umri kati ya miaka 27 na 30), pamoja na mtu…
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki BBC News…
KMC imeondoka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons ikiitandika mabao 3-2 kwenye Uwanja…
ACHANA na ushindi wa mabao 3-0 walioupata Singida Black Stars, ishu ni mshambuliaji wa timu hiyo, Jonathan Sowah ambaye ametupia…
KISASI ni haki! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kuibuka na ushindi wa…
Na Gideon Gregory, Dodoma Wanafunzi, wazazi na walezi wamekumbushwa kushauriana kikamilifu ikiwa ni pamoja na kupata ushauri wa kitaalam na…
Dar es Salaam. Ili kulinda afya ya kinywa na meno wataalamu wa afya wanasema mtu hatakiwi kusukutua na maji baada…
Kenya. Katika tukio la kushangaza Kevin Ouma ameuawa kwa kile kilichotajwa kugombea mke wa mtu. Ouma mwenye umri wa miaka…
MABINGWA watetezi wa wa Kombe la Muungano, Simba wanatarajia kushiriki mashindano hayo yanayotarajia kuanza Aprili 21 hadi 27, mwaka huu,…
Safari ya Pamba Jiji kutoka nafasi za chini na kusogea juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara bado haijawa rahisi,…
KATIKA harakati za kuhakikisha nidhamu inaimarika ndani ya kikosi, uongozi wa Singida Black Stars umeweka utaratibu wa adhabu mbalimbali kwa…
Dar es Salaam. Mwanamuziki Fareed Kubanda (Fid Q) amewapa nafasi mashabiki wake kuchagua ngoma yake ipi aimbe Mei 2, 2025…
Dar es Salaam. Mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Afrika,…
Mbeya. Wakati mwili wa aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Mkoa wa Mbeya, Lucia Sule…
BAADA ya awali kuelezwa huenda kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa atakosa mechi zote za Ligi Kuu Bara zilizobaki, taarifa…
Morogoro. Katika msako maalumu ulioendeshwa na Jeshi la Polisi mkoani wa Morogoro katika kukabiliana na wimbi la matapeli wa mitandaoni,…
Dodoma. Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 utaanza Aprili 8, 2025, jijini Dodoma. Ni mkutano wa mwisho katika uhai…
Dar es Salaam. Ni wazi kuwa kwenye mitandao ya kijamii kinachozungumzwa zaidi kwa sasa ni habari ya mwanamuziki Zuchu na…
Arusha. Sakata la mkazi wa Daraja Mbili, jijini Arusha Neema Kilugala aliyedai kubadilishiwa mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa…
Madrid kumuuza Vinicius Junior kwa €300mil, Chelsea yapata mbadala wa Jackson na Mipango ya Usajili Arsenal yawekwa wazi BBC News…
Madrid kumuuza Vinicius Junior kwa €300mil, Chelsea yapata mbadala wa Jackson na Mipango ya Usajili Arsenal yawekwa wazi
Dar es Salaam. Msanii wa muziki nchini, Mr.Blue ambaye mwaka huu anatimiza miaka 22 kwenye kiwanda cha burudani, ametangaza kuachia…
Geita. Methali ya kusema “ukiua kwa upanga, utakufa kwa upanga” inaonekana kutimia baada ya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita,…
Shinyanga. Mkazi wa kata ya Ndembezi iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Athuman Idd (35) amekutwa amejinyonga katika kata ya…
Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wameshauri njia mbalimbali za kumsaidia mgonjwa wa usonji, ikiwa ni pamoja na kumpeleka kufanyiwa…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasha Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana yakini eneo la Greenland la Denmark kwa vyovyote vile litatekwa na kukaliwa…
Kinshasa. Mahakama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imebatilisha hukumu ya kifo waliyopewa raia watatu wa Marekani kwa makosa…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Italia (SACE),…
Nairobi. Mtifuano wa Rais William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, ni kama umeanza upya baada ya kiongozi huyo…
Trump anasema – kwa hatua hizi ambazo zinazifanya bidhaa za kigeni kuwa ghali zaidi – zitasaidia wazalishaji wa Marekani na…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya jinai iliyofanywa na utawala wa Kizayuni…
Duru za habari zimeripoti kuwa, waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni mwenye misimamo mikali ya chuki amevamia…
Kwa miaka zaidi ya 10 inaburudisha mitaa ya Jiji la Dar es Salaam BBC News Swahili
Kwa miaka zaidi ya 10 inaburudisha mitaa ya Jiji la Dar es Salaam
Dar es Salaam. Mtayarishaji wa muziki nchini Paul Matthysse ‘P Funk’ amebariki binti yake Paula Paul kubadili dini na kuwa…