Askari wa kulinda amani waliouawa DRC waongezeka na kufikia 13, mapigano yazidi kupamba moto

Idadi ya askari wa kulinda amani waliouawa katika mapigano na waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC imefikia 13.