Araqchi: Barua ya Trump imepokewa

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram mazungumzo aliyofanya jana na Mshauri wa masuala ya kidiplomasia wa Rais wa Imarati na kuandika: ‘Nimepokea pia barua kutoka kwa Rais wa Marekani.’

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *