Araqchi atahadharisha kuhusu ghadhabu ya Wairani ikiwa Trump atabadlisha jina la Ghuba ya Uajemi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametahadharisha kuhusu ghadhabu ya Wairani wote baada ya tetesi kwamba Rais Donald Trump wa Marekani ana mpango wa kubadili jina la Ghuba ya Uajemi katika ziara yake nchini Saudi Arabia, wiki ijayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *