Araghchi: Mazungumzo ya kiufundi kati ya Iran na Marekani yataanza Jumatano nchini Oman

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameashiria kumalizika kwa duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana ya nyuklia kati ya Iran na Marekani yaliyofanyika jana Jumamosi mjini Rome, Italia kwamba, mazungumzo ya kiufundi katika ngazi ya wataalamu yataanza siku ya Jumatano nchini Oman.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *