Araghchi: Himaya ya Yemen kwa Palestina ilikuwa na mchango muhimu katika ushindi wa Gaza

Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, himaya ya Yemen kwa Palestina ilikuwa na mchango muhimu katika ushindi wa Gaza.