Anthony Zurcher: Ahadi na hatari ya hotuba ya Trump

Donald Trump, ambaye alirejea madarakani kutokana na wimbi la kutoridhika na hali kwa wapiga kura, aliahidi mpya ya “enzi ya dhahabu” kwa Marekani katika hotuba ya kuapishwa kwake.