Ansarullah: Israel inatumia uungaji mkono wa US kukiuka makubaliano

Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Yemen inafuatilia kwa karibu utekelezwaji wa makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza na kuongeza kuwa, inashuhudia namna “adui Mzayuni” anakwepa kutekeleza majukumu yake.